Waziri atembelea harsho

Wageni kutoka Serikalini wakiongonzwa naWageni kutoka Serikalini wakiongonzwa na Waziri wa Mazingira Mh. January Makamba. Wakifurahishwa na ubora wa bidhaa zetu na mazingira mazuri ya kiwanda na wafanyakazi. Baada ya ukaguzi wa ubora wa mifuko mbadala ya plastiki (non woven bags) leo 17/July/2019

Leave a Comment